Fungua akaunti yako
Jisajili kwa kuweka jina, email na namba ya simu. Tumia akaunti hiyo hiyo kwenye tovuti na app ya Android.
Tuma ofa, taarifa za malipo na vikumbusho kwa jina la biashara yako. Tumia tovuti, app ya Android au unganisha mfumo wako kupitia API ya SMS.

Chagua nchi ya kutuma.
Hifadhi namba za wateja, zipange kwenye makundi na utume ujumbe kwa watu unaowachagua. Angalia gharama kabla ya kutuma na ripoti ya SMS baada ya kutuma.
Tuma kwa mtu mmoja au orodha nzima. Chagua mawasiliano, weka namba au pakia faili la CSV.
Fahamu zaidi ↗Jina la biashara yako lionekane kwenye ujumbe. Tuma ombi na ufuatilie kila hatua ya kuidhinishwa.
Fahamu zaidi ↗Panga mawasiliano kwa tawi, aina ya wateja au tukio. Hifadhi ujumbe unaotuma mara kwa mara ili uweze kuuhariri na kuutumia tena.
Fahamu zaidi ↗Ona SMS zilizofika, zinazosubiri na zilizoshindikana ili uchukue hatua.
Fahamu zaidi ↗Jisajili kwa kuweka jina, email na namba ya simu. Tumia akaunti hiyo hiyo kwenye tovuti na app ya Android.
Weka jina ambalo mteja ataona, eleza matumizi ya SMS na uandike mfano wa ujumbe. Utapata SMS na email kuhusu hatua za ombi lako.
Sender ID ikishaidhinishwa, nunua kuanzia SMS 100 za nchi unayotaka kutuma. Andika ujumbe, chagua wapokeaji na uhakiki jumla ya gharama kabla ya kutuma.
Tuma taarifa za malipo, oda na namba za uthibitisho kutoka kwenye programu yako. Tumia jina lako lililoidhinishwa na uangalie ufikaji kupitia API ya Vozua.
curl -X POST 'https://sms.vozua.app/api/v1/send' \
-H 'Authorization: Bearer YOUR_API_KEY' \
-H 'Content-Type: application/json' \
-d '{
"sender_id": "YOURBRAND",
"to": ["255712345678"],
"message": "Your order is ready."
}'const response = await fetch(
'https://sms.vozua.app/api/v1/send', {
method: 'POST',
headers: {
Authorization: 'Bearer YOUR_API_KEY',
'Content-Type': 'application/json'
},
body: JSON.stringify({
sender_id: 'YOURBRAND',
to: ['255712345678'],
message: 'Your order is ready.'
})
}
);import requests
response = requests.post(
'https://sms.vozua.app/api/v1/send',
headers={'Authorization': 'Bearer YOUR_API_KEY'},
json={
'sender_id': 'YOURBRAND',
'to': ['255712345678'],
'message': 'Your order is ready.'
}
)$request = curl_init(
'https://sms.vozua.app/api/v1/send'
);
curl_setopt_array($request, [
CURLOPT_POST => true,
CURLOPT_HTTPHEADER => [
'Authorization: Bearer YOUR_API_KEY',
'Content-Type: application/json'
],
CURLOPT_POSTFIELDS => json_encode([
'sender_id' => 'YOURBRAND',
'to' => ['255712345678'],
'message' => 'Your order is ready.'
])
]);Chagua mawasiliano kwenye simu, andaa ujumbe na angalia salio la SMS la nchi husika. Tumia akaunti ileile kwenye tovuti na app ya Android.
GET IT ONGoogle PlayBei hutegemea nchi ya mpokeaji. Angalia bei ya SMS moja na ukokotoe jumla kwenye ukurasa wa Bei. Ujumbe mrefu au herufi maalum unaweza kutumia sehemu zaidi ya moja.
Ndiyo. Omba Sender ID kwa kuweka matumizi na mfano wa ujumbe. Mtandao lazima uidhinishe jina kabla hujalitumia.
Chagua nchi inayopatikana kwenye akaunti yako. Kila nchi ina bei na salio lake la SMS. Mitandao ya kila nchi imeorodheshwa kwenye ukurasa wa Nchi za huduma.
Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.