Nenda kwenye maudhui
Jina la mtumaji

Jina la biashara yako lionekane kama mtumaji wa SMS

Sender ID ni jina linaloonekana kama mtumaji wa SMS kwenye simu ya mteja. Omba jina la biashara yako, eleza matumizi yake na uweke mfano wa ujumbe. Jina lazima liidhinishwe kabla hujaanza kulitumia.

JINA LA BIASHARA KWENYE SMSYOURBRAND
Asante kwa oda yako. Tutakujulisha ikiwa tayari.
Uidhinishaji wa Sender ID
KWA KAZI ZAKO ZA KILA SIKU

Unachoweza kufanya na Vozua SMS

FAHAMU HATUA INAYOFUATA

Fuatilia hali ya ombi lako la Sender ID.

  1. Ombi limepokelewa
  2. Limewasilishwa kwa ukaguzi
  3. Matokeo ya ukaguzi
  4. Tayari kutuma baada ya kuidhinishwa
ANZA KUTUMIA VOZUA SMS

Uko tayari kutuma SMS kwa wateja wako?

Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.

Fungua akaunti yako →Wasiliana na timu yetu