Nenda kwenye maudhui
SMS API

Mfumo wako utume SMS moja kwa moja

Unganisha API ya Vozua SMS na tovuti au mfumo wa biashara yako. Tuma uthibitisho wa oda, taarifa za malipo na namba za uthibitisho baada ya tukio husika kwenye mfumo wako.

POST /api/v1/send
curl -X POST 'https://sms.vozua.app/api/v1/send' \
  -H 'Authorization: Bearer YOUR_API_KEY' \
  -H 'Content-Type: application/json' \
  -d '{
    "sender_id": "YOURBRAND",
    "to": ["255712345678"],
    "message": "Your order is ready."
  }'
KWA KAZI ZAKO ZA KILA SIKU

Unachoweza kufanya na Vozua SMS

ANZA KUTUMIA VOZUA SMS

Uko tayari kutuma SMS kwa wateja wako?

Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.

Fungua akaunti yako →Wasiliana na timu yetu