TZ
Oda yako iko tayari kuchukuliwa.Tanzania · +255 7•• ••• 420
Fungua akaunti, omba Sender ID na ununue SMS za nchi unayotaka kutuma. Sender ID ikishaidhinishwa, chagua wapokeaji, andika ujumbe na utume.
Jisajili kwa kuweka mawasiliano yako na nchi ya akaunti. Ingia kupitia tovuti au Android.
Weka jina, matumizi na mfano wa ujumbe. Ikiwa kuna ada, lipia kwanza ndipo ombi liwasilishwe.
Chagua nchi na idadi ya SMS kuanzia 100. Hakiki gharama kisha thibitisha ombi la malipo kwenye simu.
Chagua wapokeaji, andika ujumbe na uhakiki makadirio. Thibitisha kutuma kisha fuatilia ripoti.
Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.