Nenda kwenye maudhui
KUHUSU VOZUA

Huduma ya SMS kutoka Vozua Holdings Ltd

Vozua SMS inasaidia biashara na taasisi kutuma ofa, vikumbusho, taarifa za malipo na matangazo kwa wateja. Tumia tovuti, app ya Android au API kutuma SMS na kuangalia ripoti zake.

TZTanzania
KEKenya
UGUganda
RWRwanda
VozuaSMS
KWA KAZI ZAKO ZA KILA SIKU

Unachoweza kufanya na Vozua SMS

ANZA KUTUMIA VOZUA SMS

Uko tayari kutuma SMS kwa wateja wako?

Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.

Fungua akaunti yako →Wasiliana na timu yetu