Nenda kwenye maudhui
Bulk SMS

Tuma ujumbe mmoja kwa wateja wengi

Chagua mawasiliano au pakia orodha ya namba, andika ujumbe na uhakiki jumla ya gharama. Tuma ofa, vikumbusho na taarifa kwa wateja sasa, au panga zitumwe baadaye.

VOZUA SMSMIFANO YA UJUMBE
TZ
Oda yako iko tayari kuchukuliwa.Tanzania · +255 7•• ••• 420
KE
Namba yako ya uthibitisho ni 482910.Kenya · +254 7•• ••• 180
TZ
Tunakukumbusha miadi yako ya kesho.Tanzania · +255 6•• ••• 905
KE
Malipo yako yamepokelewa. Asante.Kenya · +254 1•• ••• 630
Jina la biashara yako. Kwenye kila ujumbe.
KWA KAZI ZAKO ZA KILA SIKU

Unachoweza kufanya na Vozua SMS

ANZA KUTUMIA VOZUA SMS

Uko tayari kutuma SMS kwa wateja wako?

Fungua akaunti bure, omba Sender ID ya biashara yako na ununue SMS ukiwa tayari kutuma.

Fungua akaunti yako →Wasiliana na timu yetu